Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakati wa
kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo
mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakati wa
kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo
mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja
Waziri wa
Wizara wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed
(katikati) akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka
2016-2017 katika kikao cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba
2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Lulu Msham Abdalla.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...