Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli kumtakia heri yeye na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakitumbuizwa na kikundi cha Brass band cha Mount Usambara chini ya Mzee Hoza Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma mbele ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Dah inaonyesha jinsi gani hata viongozi wetu hawajui wimbo wa taifa ukiimbwa unatakiwa kusimama kiukakamavu mikono yote iwe chini hapo unaona wamejikunyata wimbo ukiimbwa kazi sana

    ReplyDelete
  2. Kwa cheo cha Msigwa kugeuka kuwa MC ktk mambo kama haya ni kujishusha sana, Kwani hamna Ma-MC au kwanini asifanye delegating sio kila kitu afanye yeye. Kurugenzi Mawasiliano ikulu ina watu wengi na ni sehemu kubwa sasa ikiwa Mkurugenzi wake anakuwa MC kwakweli ni kuishusha hadhi taasisi hii.

    Hayo ni maoni tu wala sina nia mbaya sababu maoni au ushauri siku zote utufanya binadamu kubadilika na kama nimekosea basi naomba mnisamehe.

    Mungu awabariki sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...