Mkurugenzi na Mmiliki wa Ndauka Advert, Rose Ndauka akizungumza leo katika uzinduzi wa Alama (Lebo) yake ya muziki inayoitwa Ndauka Music na kumtambulisha Msanii wake wa kizazi kipya, Kassimu Said a.k.a Casso (kulia) leo jijini Dar es Salaam.
Msanii wa kizazi kipya, Kassimu Said a.k.a Casso, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa Alama (Lebo) ya muziki inayoitwa Ndauka Music leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...