Baadhi ya Wananchi wakiwa juu ya mgongo wa huyo samaki mkubwa ambaye mpaka sasa hakufahamika jina lake mara moja
Sehemu ya mwili wa samaki huyo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ndio tatizo la wasomi kukwepa kukaa vijijini juzi juzi waingereza huko cardif walionywa kukaa mbali na ufukwe baada ya samaki nyangumi kwenda kina kifupi akakosa hewa ya kutosha akafa...ila kwakuwa hawakuwa na uhakika wa chanzo cha kifo chake watu waliambuwa wasisogee kuepuka magonjwa ya mlipuko hao punda hapo ndio kwanza wamemkwea...na serikali ya kijiji inawachekea... Michuzi nawewe unachekelea...tuna safari ndefu

    ReplyDelete
  2. Hajajulikana jina au sema hamumjui jina ? Huyo ni chongowe a.k.a nyangumi basi hata kufananisha picha hamjui ama ndo u-mjini umewazidi?

    ReplyDelete
  3. Unashangaa kuona wanakwea....ukiuliza saa hizi utaambiwa wamemgawana kwenda kumla.....tuelimishaneni wabongo mnatakiwa kujiuliza kafa kwanini sio mnakimbilia tu....kwa kweli bado tunasafari ndefu sana

    ReplyDelete
  4. Samaki unaweza kula hata kama amekufa!

    ReplyDelete
  5. Kibaya zaidi ni kwamba wamemkata na kugusa damu yake bila hata kuvaa kinga (gloves). Harafu tunalaumu serikari kwamba hakuna dawa. Kwa mwendo huu wa kijinga hata kama serikari ikijaza dawa nyumba zote za Tanzania na watu wote tukalala nje bado dawa hazitatosha. Hivyo tujifunze na tujuwa kwamba kuna uzezeta kwetu sote raia na viongozi wetu, kamwe tusiwe wepesi kulaumu serikali. Niulize swali, idara husika iko au ilikuwa wapi? Je, nia ya kumkata ni dalili ya kujipatia mlo au kuangalia kama ndani yake kuna vito vya thamani/dhahabu nk?

    ReplyDelete
  6. Samaki huwa analiwa wakati ameshakufa, na Hugo ni NYANGUMI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...