THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

SHULE YA SEKONDARI TUSIIME YAPIGWA FAINI YA MILIONI KUMI KWA UCHAFUZI WA MAZINGIRA

 Naibu Wziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina alipokuwa akifanya ziara ya kukagua mazingira katika shule ya secondary Tusiime iliyopo tabata jijini Dar es salaam mara baada ya kupata malalamiko kutoka kwa wananchi ya utililishaji maji taka kwenye makazi ya watu kutoka shuleni hapo.                
  Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina (katikati)  akipata maelezo ya jinsi gani mfumo wa utililishaji  maji taka unavyofanya kazi katika shule ya secondary Tusiime.                    Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuipiga faini ya million kumi shule ya secondary Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es salaam kwa uchafuzi wa mazingira