SIMU.TV: Asasi za kiraia na wadau wa ardhi nchini wameunga mkono mabadiliko ya sera ya ardhi yanayofanywa na serikali ili kuwezesha jamii kunufaika kwa usawa.https://youtu.be/sFGXYY8TfEI
SIMU.TV: Serikali imeombwa kufanyia marekebisho ya sheria ya ndoa na ya ardhi ili kuhakikisha inaondoa vikwazo vinavyomnyima wanawake haki ya kumiliki ardhi.https://youtu.be/SwraQC9WP2Y
SIMU.TV: Waumini wa dini ya kiislamu madhehebu ya Shia wamefanya matembezi ya hisani jijini Dar es salaam kwa ajili ya kumbukumbu ya kifo cha mjukuu wa mtume.https://youtu.be/M_Bu5j73RDw
SIMU.TV: Jamii imekumbushwa kuvisaidia vituo vya kulelea watoto wenye ulemavu wa ngozi ili kuwatatulia changamoto zinazowakabili. https://youtu.be/DU29CZaA4mE
SIMU.TV: Mfuko wa hifadhi ya Jamii wa PSPF umewataka wananchi kuchangamkia fursa zinazotolewa na mfuko huo ili kuweza kujikwamua kiuchumi. https://youtu.be/INxsk6FhZ5k
SIMU.TV: Serikali imesema inaendelea kuhakikisha watanzania wanapata uzoefu wa kufanya kazi za kuendesha mitambo ya kuchakata na kusafirisha gesi asilia.https://youtu.be/6Xa1yqFzPEU
SIMU.TV: Kampuni ya simu ya Vodacom imemkabidhi zawadi ya shilingi milioni 20 mshindi wa wiki wa shindano la jiongeze na M Pawa. https://youtu.be/NkdE7NSTLpw
SIMU.TV: Shirika la taifa la hifadhi ya jamii limesema mipango yake ya sasa ni kuwekeza katika miradi itakayotoa ajira moja kwa moja kwa watanzania. https://youtu.be/Os2k05y57n8
SIMU.TV: Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga imeonesha ubabe mbele ya wapinzani wao klabu ya Mtibwa kwa kuwafunga mabao matatu kwa moja.https://youtu.be/mJtLfLd4GLw
SIMU.TV: Jumla ya vikundi sita vya utamaduni kutoka nchini India vinatarajiwa kushiriki katika tamasha la utamaduni litakalofanyika nchini . https://youtu.be/ThzBK_8ngRU
SIMU.TV: Uongozi wa klabu ya Gofu ya Lugalo umewaaga wachezaji wa klabu hiyo wanaoenda kushiriki mashindano ya Arusha Open yatakayofanyika mkoani Arusha.https://youtu.be/pflhve2Jltk
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...