Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji ,Rene  Luyckx, akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), wakati ujumbe huo  ukiongozwa na Balozi wa Umoja wa  Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia),ulipotembelea wizara hiyo kujadili ushirikano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri,jijini  Dar es Salaam.
 Balozi wa Umoja wa  Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akizungumza na ujumbe ulioongozwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...