Rais
wetu Dkt John Pombe Magufuli kachaguliwa na FOBES kushindania Tuzo ya
Mtu mashuhuri wa Mwaka 2016 Africa!Tumpigie kura kwa wingi ili iatangaze
Nchi yetu Duniani Kote,unaweza bofya link chini halafu angalia jina gonga utakuwa umesha piga kura.uzalendo kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...