Meneja Uwekezaji Kimataifa wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Zacharia Kingu akifafanua jambo wakati akielezea fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana nchini kwa Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo hicho leo Oktoba 27, 2016.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akiteta jambo na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje kitengo cha Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima, katika Mkutano ulioikutanisha TIC na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo hicho leo Oktoba 27, 2016.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akizungumza katika Mkutano na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo hicho leo Oktoba 27, 2016.
Afisa Masoko Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania, Vedastus Mwita akielezea fursa ya utalii nchini kwa Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo cha Uwekezaji Nchini leo Oktoba 27, 2016.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji nchini wakiwa kwenye Mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, waliotembelea Kituo cha Uwekezaji Nchini leo Oktoba 27, 2016. Kushoto kwake ni Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi na kulia kwake ni Kiongozi wa Msafara huo, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Abu Dhabi Fund For Development, Mohamed Al Suwaidi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...