Wananchi wa Kijiji cha Mtange Mji wa Lindi, wakichakarika na kazi ya uvunaji Chumvi itokanayo na maji ya Bahari ya Hindi, kama walivyokutwa na Kamera yetu leo. Chumvi ni moja ya madini muhimu sana kwenye mwili wa Binadamu.
 Uvunaji Chumvi ukiendelea.
Hivi ndivyo Chumvi inavyopatikana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...