THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Uzinduzi wa Dar Restaurant Week ulivyofanyika The Bay Restaurant, jijini Dar es Salaam

WAKAZI wa jijini Dar es Salaam kuanzia Oktoba, 8 hadi 15 wanataraji kuwa katika Dar Restaurant Week ambayo itawawezesha wateja wa migahawa 10 ambayo inashiriki maadhimisho hayo kupata chakula kwa bei pungufu tofauti na ilivyozoeleka.

Akizungumza Mwanzilishi wa Dar Restaurant Week, Adam Senkoro alisema lengo ya kuanzisha maadhimisho hayo ni kupata pesa kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa kike ambao familia zao hazina uwezo wa kuwalipia fedha za masomo, na wao watatumia fedha ambazo zimepatikana kwa siku ya ufunguzi kwa ajili ya kuwalipa masomo.
Mwanzilishi wa Dar Restaurant Week, Adam Senkoro akizungumza kuhusu Dar Restaurant Week na jinsi ilivyo na faida kwa wakazi wa Dar.

Alisema ni fursa kwa wakazi wa Dar kutembelea katika migahawa ambayo inashiriki ili kupata chakula wanachokipenda kwa bei nafuu kwa siku zote ambazo zimepangwa mpaka maadhamisho hayo yatakapomalizika.

“Tumeandaa Dar Restaurant Week na mapato ambayo yatapatikana yatakwenda kusaidia kulipa ada kwa watoto wa kike, ninachotaka kuwaambia wakazi wa Dar ni kutembelea migahawa ambayo inashiriki ili kupata chakula kwa bei ndogo,” alisema Senkoro.
Wahudhuriaji wa uzinduzi Dar Restaurant Week wakilipa pesa kabla ya kuingia ndani.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. bongolove Anasema:

    Kutokana na maadhimisho hayo, Pia vijana wengine wajasiriamali, waliamua kuanzisha mtandao unaoitwa www.mgahawa.co.tz , huu mtandao ni hususan kwa wote wanaotafuta sehem za kula, Kwan migahawa yote ya Tanzania imewekwa kwenye website moja nayo ni http://mgahawa.co.tz