Mmoja wa walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya maskini katika shehia ya Ndagoni kisiwani Pemba akitoa maelezo kwa baadhi ya wadau wa maendeleo waliotembelea eneo hilo kuona utekelezaji wa shughuli za Mpango.
   Mmoja wa wadau wa maendeleo kutoka Benki ya Dunia Bwana Salazar  Manuel (mwenye miwani) akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika shehia ya Ndagoni( hawapo pichani).   
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bwana Ladislaus Mwamanga (aliyeshika kitabu) akiwa na baadhi ya wadau wa maendeleo wakipata maelezo kutoka  Kwa Mratibu wa shughuli za TASAF huko Zanzibar juu ya upandaji wa mikoko ikiwa ni hifadhi ya mazingira  na ujenzi wa kinga maji katika shehia ya Ndagoni uliofanywa na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia utaratibu wa ajira ya muda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...