BENKI ya CRDB tawi la Water Front limesema kuwa katika maadhimisho ya wiki kwa mteja wamefanikiwa kupata wateja wapya 80 na hio ni moja ya mafanikio makubwa sana kwao.

Meneja huduma kwa wateja wa tawi hilo, Mary Ngowi amesema kuwa watu wamefurahia sana huduma zao na wamepata nafasi za kutembelea matawi yote ndani ya wiki hii na wamesikiliza maoni ya wateja wao na watayafanyia kazi ikiwemo kuboresha huduma zao.


Maadhimisho hayo yamemalizika kwa wafanyakazi wa benki hiyo na wateja kukata keki kwa pamoja.
 Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakiwa katika picha ya pamoja.
 Mteja wa muda mrefu akiwa anakata  Keki ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja ikiwa na kauli mbiu ya Tunakusikiliza, karibu tukuhudumie.
 Wateja wa CRDB tawi la Water Front wakimlishwa keki na mteja wa muda mrefu wa benki hiyo katika wiki ya maadhimisho ya huduma kwa mteja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...