Mkurungenzi idara ya kuondoa umaskini Wizara ya Fedaha na mipango, Anna Mwasha akizungumza wakati wa warsha kuhusu kuhamasisha na kuelimisha Watumishi wa Halmashauri na Serikali za mitaa kuhusu utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu kisekta iliyofanyika ukumbi wa hazina mjini Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi, Bernar Mkali akizungumza wakati wa kufungua warsha kuhusu kuhamasisha na kuelimisha Watumishi wa Halmashauri na Serikali za mitaa kuhusu utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu kisekta iliyofanyika ukumbi wa hazina mjini Dodoma leo.
baadhi ya Watumishi wa halshauri walioshiriki katika warsha ya utekelezaji wa maendeleo endelevu kisekta iliyofanyika mjini Dodoma ukumbi wa hazina leo.
Picha ya pamoja ya Naibu katibu mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi Bernad Makali (mwenye suti ya kijivu waliokaa mbele) baadhi ya Watumishi wa halshauri walioshiriki katika warsha ya utekelezaji wa maendeleo endelevu kisekta iliyofanyika mjini Dodoma ukumbi wa hazina leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...