Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lushoto ambaye ni Afisa Tarafa ya Lushoto,Asha Kikoti akifungua mkutano wa uzinduzi wa chama cha wazee wastaafu wilayani Lushoto kushoto ni MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama cha Wazee wilayani humo Paul Kirua.
|
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu akizungumza na wazee wastaafu wilayani Lushoto
Katibu Mkuu wa Chama cha wazee Wastaafu wilayani Lushoto (Chawasewili) Paul Kirua akionyesha juu katiba ya Chama hicho mara baada ya kukizunduawilayani humo kushoto ni MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu.
Wazee Wastaafu wilayani Lushoto wakimsikiliza kwa umakini Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu
|
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...