Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba kushoto akimsikiliza kwa umakini Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso wakati alipofanya ziara wilaya ya Pangani kuangalia maeneo kutakapojengwa ukuta wa mto Pangani na Upandaji wa Miti ya Mikoko
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani(CCM) Jumaa Aweso kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba katikati akiangalia taarifa ya mradi wa Ujenzi wa Ukuta wa Mto Pangani mara baada ya kuutembelea leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...