Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa na wajumbe wa bodi mpya ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) mara baada ya kuzinduliwa.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi iliyomaliza muda wake.ya Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) .
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) .
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

WAJUMBE WA BODI MPYA YA MUWSA
  1. BIBI ELIZABETH MINDE
  2. ENG: ABDALLA MKUFUNZI
  3. BW: BONIFACE MARIKI
  4. BW: FILBERT KAHETA
  5. BIBI HAJIRA MMAMBE
  6. Mh. RAYMOND MBOYA
  7. Eng. AISHA AMOUR
  8. BW. MICHAEL MWANDEZI
WAJUMBE WA BODI ILIYOMALIZA MUDA WAKE
  1. Mh. SHALLY RAYMOND (MB)
  2. Mh. JAPHARY MICHAEL (MB)
  3. Eng. ALFRED SHAYO
  4. BW. JESHI LUPEMBE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...