Meneja waenki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala  akisaidiana na wateja wa tawi la CRDB tawi la Tegeta kukata keki kwaajili ya kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay alipotembelea tawi la Tegeta Kibo Complex na kukata keki pamoja nao katika wiki ya huduma kwa wateja.
Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo Complex wakiwa katika picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...