Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. The mdudu, hii imekaa vyema tupo pamoja ni kweli usio pingika kama kila mkoa utafanya kama hawa Wazalendo basi vijana mitaani ingekua history I mean wasinge zagaa ovyo ovyo mitaani kwa mfano wakitumiwa vizuri kwenye sehemu nyeti kama vile kupiga rangi mashuleni, hosipitalini, na mambo mengine kibao kama wafanyavyo hao vijana Wazalendo basi mambo yange badilika haraka sana coz nguvu kazi tunayo yakutosha

    ReplyDelete
  2. Asanteni sana vijana wetu kwa kuonyesha uzalendo wenu kwa vitendo. Mungu awabariki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...