THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO

SIMU.tv: Tazama mazungumzo kuhusu  matokeo ya sensa ya uzalishaji viwanda ya mwaka 2013 kutoka kwa mtakwimu mwandamisi ofisi ya taifa ya takwimu;https://youtu.be/GoAm-aXR49A

SIMU.tv: Korea ya kusini yaahidi kuzisaidia nchi za Afrika kuwekeza katika sekta ya viwanda na kilimo katika kukuza uchumi wa nchi za Afrika;https://youtu.be/jfKbrmRYkpg

SIMU.tv: Rais msaatafu Benjamin Mkapa amesema dunia itaendelea kumkumbuka  waziri mkuu wa zamani wa Sweden Olf Palme kwa mchango wake wa ukombozi  wa nchi za Afrika; https://youtu.be/7cDRnR0zZdw

SIMU.tv: Wizara ya maliasili na utalii yaunda kikosi kazi kwa ajili ya kupambana na kutokomeza ujangili nchini; https://youtu.be/exBsq3xfzcw

SIMU.tv: Baadhi ya wanahabari wa mkoani Mbeya wakutana kujadili muswaada  wa sheria ya  huduma ya habari ya mwaka 2016; https://youtu.be/zbCaBZpCsSc

SIMU.tv: Wazazi mkoani Kagera wameshauriwa kuwapeleka haraka hospitali watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi; https://youtu.be/IaTb6Wrif3Q

SIMU.tv: Kiwanda cha Machinjio cha Arusha chatakiwa kuongeza thamani ya mazao yake; https://youtu.be/FahVW2VNbM4

SIMU.tv: Inaelezwa kuwa mto mbarali ulioko mkoani Mbeya uko hatarini kukauka kutokana na kukithiri kwa shughuli za binadamu katika mto huo;https://youtu.be/Yo_d6VqCrLI

SIMU.tv: Serikali yawataka watanzania kuendelea kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera; https://youtu.be/PRzLHZIDjo0

SIMU.tv: Rais msaatafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi awasihi waumini wa dini ya kiislamu nchini kutumia misikiti kufanya ibaada; https://youtu.be/W0jhuKhCBz8

SIMU.tv: Serikali ya Tanzania na Morocco zakubaliana kushirikiana katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo; https://youtu.be/tZ-SOXfMKAU

SIMU.tv: Rais Shein aipongeza wizara ya Kilimo Maliasili , Mifugo na Uvuvi kwa juhudi zake inazofanya; https://youtu.be/FwNEQhYVF-Q