Askari wa usalama barabarani koplo Atilio Choga akiwa anatoa maelezo mafupi ya barabara zilizopo mkoani Arusha na jinsi magari yanavyoingia na kutoka  katika siku ya uzinduzi wa wiki ya usalama barabarani ilianza Jana katika viwanja vya sheikh Amri Abeid ,mbele ni mkuu wa wawilaya ya Arusha Fabian Daqarro ambapo alikuwa mgeni rasmi
 Askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani akimuonyesha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya ya Arusha jinsi kifaa chakupimia ulevi kwa madereva kinavyo fanya kazi.
 kamanda wa kikosi cha usalama barabarani Nuru Selemani  akiwa anasoma risala
Mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Fabian Daqaro katikati akiwa anaandika baadhi ya changamoto alizotajiwa.
Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tatizo hapo hakuna Traffic Engneer au Traffic Scientist. Kuna wadau tu. Polisi ni mdau wa sheria na hawezi kutibu tatizo la ajali bila wasomi. Fani hii kuna watu wenye PhD hata hawakaribishwi hapo. Kwa mwendo huu wa UPE tutaendelea kupata ajali zisizo za lazima. Kila gonjwa lina tabitbu wake.

    I hope JPM kama msomi atutumia wasomi kutatua matatizo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...