THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

BALOZI DORA MSECHU AZINDUA ZOEZI LA JUMUIYA YA WATANZANIA SWEDEN LA KUCHANGIA WAHANGA WA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA

Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mhe. Dora Msechu amezindua harambee ya kuchangia  wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera kwenye Hafla iliyofanyika Stockholm, Sweden. 
Hafla hiyo iliandaliwa na Jumuiya ya Watanzania  Sweden kwa lengo la kuhamasisha Watanzania waishio Sweden kuchangia wahanga wa maafa hayo. Zoezi hili maalum la uchangiaji linendelea mpaka tarehe 4 Novemba, 2016  na litahitimishwa kwa michango hiyo kukabidhiwa kwa Mhe. Balozi Dora Msechu.
 Mhe. Balozi Dora Msechu akikata utepe kuzindua zoezi la uchangiaji wahanga
 Mhe. Balozi Dora Msechu akiongeas kwenye hafla hiyo. Kulia ni  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania ya Mji wa Malmo  ambaye aliwasilisha salamu za Matanzania wa Malmo
 sehemu ya washiriki wa Hafla hiyo

Mwanadiaspora Mbarouk Rashid akikabidhi mchango wa vifaa

Kocha Mkuu wa FC Kilimanjaro, Humphrey Kalanje akizungumza.