Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto)  akiwa na Msimamizi wake, Joe Anena  muda mfupi kabla ya kukwea pipa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Kuelekea mjini Huxleys, Kreuzberg, Berlin, Ujerumani, kunako mpambano wa marudio kati yake na Bondia Zapir Rasulov, baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa.
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' (katikati) akiwa na Bondia Ibrahimu Class (kulia) na Joe Anena katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya safari yao kuelekea Berlin kunako mpambano wa marudio kati yake na Bondia Zapir Rasulov, baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...