THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

DIAMOND PLATINUMZ NA ALI KIBA KATIKA RED CARPET


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Jamani in all fairness Diamond was OK katika lugha hiyo. Mnyonge mnyongeni but do justice to the guy. He was surely coherent and eloquent. Wouldn't say the same for the other guy.

 2. Yawezekana huyo aliyeandika title ya video hii hajui lugha hii maana mbona wameongea vizuri tu,wanajitahidi na wanaeleweka ukizingatia hiyo ni second language. tatizo wabongo wanapenda kushusha wenzao.Nchi nyingine wasanii hata english hawaongei vizuri ila nchi zao zinawapamba.Badilisha hiyo title,wape haki yao.

 3. Anonymous Anasema:

  Diamond ameongea kingereza kizuri kabisa.
  Tujue kwamba kingereza si lugha yetu ya taifa hivyo mtu asipokizungumza vizuri siyo tatizo. Tatizo ni pale mzawa anaposhindwa kuongea Kiswahili yake. Ni lazima tujivunie lugha yetu.

 4. HK Anasema:

  Hiyo mmetuwekea kiuchokozi chokozi tu, ipo indirect mithli ya kutaka kuskia nani zaidi katika lugha hiyo baina ya mafahali hao wawili, hata hivyo binafsi nakubaliana na maoni ya mdau wa mwanzo hapo juu. Diamond, Masha Allah kaflow vizuri bila kumung'unya mung'unya wala 'kuchakuwa chakuwa' maneno.

 5. Anonymous Anasema:

  Diamond kajitahidi, ila Alikiba kachemsha...ningemshauri atumie chance aliyo nayo, I believe JOKATE anaongea english nzuri tuu angemtumia yeye kujua Lugha. Japo si mbaya kutojua Lugha, wala si laana, sababu ni lugha ya watu hiyo...