Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Jamani in all fairness Diamond was OK katika lugha hiyo. Mnyonge mnyongeni but do justice to the guy. He was surely coherent and eloquent. Wouldn't say the same for the other guy.

    ReplyDelete
  2. Yawezekana huyo aliyeandika title ya video hii hajui lugha hii maana mbona wameongea vizuri tu,wanajitahidi na wanaeleweka ukizingatia hiyo ni second language. tatizo wabongo wanapenda kushusha wenzao.Nchi nyingine wasanii hata english hawaongei vizuri ila nchi zao zinawapamba.Badilisha hiyo title,wape haki yao.

    ReplyDelete
  3. Diamond ameongea kingereza kizuri kabisa.
    Tujue kwamba kingereza si lugha yetu ya taifa hivyo mtu asipokizungumza vizuri siyo tatizo. Tatizo ni pale mzawa anaposhindwa kuongea Kiswahili yake. Ni lazima tujivunie lugha yetu.

    ReplyDelete
  4. Hiyo mmetuwekea kiuchokozi chokozi tu, ipo indirect mithli ya kutaka kuskia nani zaidi katika lugha hiyo baina ya mafahali hao wawili, hata hivyo binafsi nakubaliana na maoni ya mdau wa mwanzo hapo juu. Diamond, Masha Allah kaflow vizuri bila kumung'unya mung'unya wala 'kuchakuwa chakuwa' maneno.

    ReplyDelete
  5. Diamond kajitahidi, ila Alikiba kachemsha...ningemshauri atumie chance aliyo nayo, I believe JOKATE anaongea english nzuri tuu angemtumia yeye kujua Lugha. Japo si mbaya kutojua Lugha, wala si laana, sababu ni lugha ya watu hiyo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...