THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

HONGERA SANA TREASURY REGISTRAR LAWRENCE MAFURU

Brother Lawrence Mafuru, congratulations for the newest addition on your academic portfolio. 
I got to learn that yesterday, 19th November 2016, His Excellency The Chancellor of The University of Dar Es Salaam (UDSM), Retired President Dr Jakaya Kikwete,  conferred you an MBA (Finance). 

This additional qualification shall increasingly enhance your stature in managing the Tanzania's Treasury Registry. 
HONGERA SANA SANA

-Derek Murusuri
 The Chancellor of The University of Dar Es Salaam (UDSM), Retired President Dr Jakaya Kikwete, Former Prime Minister Judge Joseph Sinde Warioba and Vice Chancellor of UDSM Prof. Rwekaza Mukandala pose with Mr Lawrence Mafuru after the graduation ceremony at the Hill
  The Chancellor of The University of Dar Es Salaam (UDSM), Retired President Dr Jakaya Kikwete, Former Prime Minister Judge Joseph Sinde Warioba and Vice Chancellor of UDSM Prof. Rwekaza Mukandala chatting with Mr Lawrence Mafuru after the graduation ceremony at the Hill
 Mr Mafuru's Dissertation
  Vice Chancellor of UDSM Prof. Rwekaza Mukandala congratulates  Mr Lawrence Mafuru 
The Chancellor of The University of Dar Es Salaam (UDSM)  Retired President Dr Jakaya Kikwete congratulates  Mr Lawrence Mafuru.


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Hongera zake ila binafsi nina wasiwasi na hiyo "Title" nadhani kuna kosa la kimsingi hapo ingawa sijaingia ndani kusoma kilichomo. Ningekuwa msimamizi wake ningeanza kwanza kuwekana sawa na hiyo " Title" naona imejichanganya. Napata hisia kuwa lengo lake kuu lilikuwa kuangalia jinsi makampuni au mashirika yanavyjiendesha baada ya kubinafsishwa na hilo silipati katika kichwa cha habari ila ndio hivyo ni elimu yetu ya kibongo.

 2. Anonymous Anasema:

  Annony namba moja hapo juu let me assure u that u have just been able to only illustrate ur own ignorance. Give the guy the credit he is due. You have not only read the work but pick on a title that is both perfect in language and the subject it seeks to address. Shame on you!

 3. Anonymous Anasema:

  Nadhani huyo uncle hapo namba moja juu alitaka neno "firm" liwe in plural yaani firms! Hapo ndipo huyo critic namba moja anaonyesha mapungufu yake ya kutofahamu.

 4. Anonymous Anasema:

  Nashukuru wote wawili hapo juu kwa kuona kuwa hakuna kosa na ndio maana nilimalizia chini elimu yetu ya bongo...nitakuwa mtu wa mwisho kumnyooshea kidole na kumueleza mtu kuwa ni mjinga...nimempa hongera na kutoa maoni yangu kwa kuwa hakuna mkamilifu ila bado nadhani kuna tatizo hapo ingawa haina haja ya kuendeleza malumbano!