Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha, Balozi wa Sweden hapa nchini Katrina Rangnitt, kwa ajili ya mazungumzo, Ofisin kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo   
 Katibu wa NEC, Siasa na ushirikiano wa Kimataifa, Dk Pindi Chana akimsalimia Balozi wa Sweden hapa nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, kabla ya Balozi huyo kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, Ofiini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, Ofiini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...