Baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari pamoja na wachuo kikuu cha Dar es salaam,wakimsikiliza Meneja Uzalishaji wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-Pesa,Gloria Njau alipokuwa akitoa mada juu ya Ujasiriamali na umuhimu wa maswala ya kifedha na Uchumi, wakati wa kongamano la wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na masuala ya Uongozi bora na Ujasiriamali lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini mwishoni mwa wiki, kwa kuandaliwa na UDSM Finance Association (DUFO)na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation.
Meneja Uzalishaji wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-Pesa,Gloria Njau , akitoa mada juu ya Ujasiriamali na umuhimu wa maswala ya kifedha na Uchumi, wakati wa kongamano la wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na masuala ya Uongozi bora na Ujasiriamali lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini mwishoni mwa wiki, kwa kuandaliwa na UDSM Finance Association (DUFO)na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation.
Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Renatus Rwehikiza (kulia) pamoja na Mkurugenzi wa kituo cha Jinsia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini mjasiriamali, Diana Mbogo(kushoto) akitoa mada juu ya elimu ya Ujasiriamali wakati wa kongamano la wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na masuala ya Uongozi bora na Ujasiriamali lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini mwishoni mwa wiki, kwa kuandaliwa na UDSM Finance Association (DUFO)na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...