THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI KANDA YA DAR ES ASALAAM YAFIKIA TAMATI

Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (katikati )akiwa na baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam”Yenye kauli mbiu ya maadhimisho hayo ilikuwa Hatutaki ajali tunataka Kuishi” zilizofanyika kwenye viwanja vya Mwembe yanga jana kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Elifadhili Mgonja(Kushoto) akimpongeza Mkuu wa kitengo cha Usalama wa Afya na Mazingira wa Vodacom Tanzania,Karen Lwakatare(kulia)kwa mchango mkubwa uliofanywa na kampuni yake katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam,”Yenye kauli mbiu ya maadhimisho hayo ilikuwa Hatutaki ajali tunataka Kuishi” zilizofanyika kwenye viwanja vya Mwembe yanga jana kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania.