Alhamdullilah Siku ya Ijumaa Tarehe 11/11/2016 tumekamilisha kwa sehemu kubwa Uzio wetu wa kulia upande wa kuchukua Udhu Kina Mama. Mungu akipenda litakalo fuata ni kuendeleza Ukuta wa Uzio Mbele ya Mihrab (Kibla ya Msikiti kama inavyo kuonyesha Picha 👇) .
Cement Imebaki mifuko Miwili .
Bajeti ya Ukuta huu wa Kibla ni kama ifuatavyo .
Cement Mifuko 50 @ 1 , 12000×50= 600,000/=
Lori kubwa la Mchanga Mende 300,000.
Nondo 15, @ 15500×15 = 232500.
Gharama za Kukodi Mbao 50,000
Jumla 1,182,500/=
Tafadhali Toa Sadakatul Jaalia kwa Kumtolea Mzazi wako Ndugu yako na Allah atakupa zaidi .
Toa chochote ulicho nacho na huto jutia kwa ulicho kitoa duniani na kesho akhera . Tunapokea Vifaa .
Waweza wasilisha sadaka yako kupitia TIGO-PESA No 0715800772.
Na Mratibu Msimamizi , GHALIB N MONERO.
Dua ya shukran kwa kukamilisha kwa sehemu kubwa Uzio wa kulia upande wa kuchukua Udhu Kina Mama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...