Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hebu tuwe waangalifu kidogo. Watu wasishurutishwe kupanda ndege ya ATC kwa vile ni ya Serikali. Sharti iwe na huduma bora na ushindani. Hata mashirika mengine ya ndege ni halali pia na yanasaidia kutoa huduma sote tunayoihitaji. Kuokoa milioni 40 si habari ya maana kwani unaweza uliza huo ujumbe usingeweza kupunguza kama namna nyingine ya kupunguza gharama. Tukumbuke hata mashirika ya biashara binafsi ni wadau nchini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...