Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, Angela Kairuki akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )
Rais
wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) , Gratian Mukoba
akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama na kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...