THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MAPITIO YA SERA YA TAIFA YA ARDHI YA MWAKA 1995 KUIBORESHA KWA KUZINGATIA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA ARDHI

Wajumbe kutoka Sekretarieti za Mikoa na wawakilishi kutoka Wizara mbalimbali Serikali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao cha pamoja cha kupokea maoni kutoka kwa wadau hao ili yaweze kuzingatiwa kwenye Sera inayofanyiwa mapitio.
Kamishna wa Kanda ya Dar es salaam Mathew Nhonge (Kulia) na Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Ziwa , Joseph Shewiyo(Kushoto) wakifuatilia kwa makini maoni yanayotolewa na wadau baada ya kupitia Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka, 2016 katika ukumbi wa VETA Mkoani Morogoro.