Mwenyekiti wa Bunge , Mussa Azzan Zungu akiahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azan Zugu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka baada ya kuahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akiteta na Mwanansheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim majaliwa akijadiliana jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju  katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...