Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akipongezwa na mama yake mzazi baada ya kudaka nondozzz  ya  uzamivu ya utawala wa umma  (PhD in Public Admnistration) Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Wikiendi hii. 
 Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akivishwa shada la maua kwa kudaka nondozzz
Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akipozi na familia yake baada ya kudaka nondozzzz UDSM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana Dakta..

    Watanzania kwa ujumla ni wakati wa kuweka mbele suala la elimu kwani ndio chachu ya maendeleo katika nchi yoyote duniani kuanzia ngazi ya familia. Ushahidi upo kwa utafiti mdogo wa kiuchumi, magonjwa,afya bora, kwa wenye elimu ya juu na wasiokuwa nayo..

    Ni wakati wetu sasa Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...