THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. HK Anasema:

    Hongera Mh. Mkurugenzi wa Wilaya hiyo ya KONDOA. Nakupongeza na kukupa hongera za dhati kwa jitihada zako katika kuiongoza na kuiimarisha vizuri Wilaya hiyo na khususan katika masuala mazima ya usafi na the way ulivyoielezea. Nakubaliana na wewe kukhusu suala la vivutio vya utalii vilivyopo katika Wilaya ya Kondoa na vitongoji vyake, achilia mbali hiyo Chemchem ya asili iliuyopo hapo Kondoa Mjini kadhalika na ile michoro kadhaa iliyopo hapo kwenye majabali (Rocks) katika hicho kilima kilichopo karibu na Mjini, mbali ya hayo pia kuna Kijiji kinachoitwa KOLO-WASI, hapo kuna center ndogo ya utalii ambapo baadhi ya watalii wamekuwa wakifika na kupelekwa sehemu nyingine zaidi kwenye maajabu ya wazee wetu wa kale ambayo huwa yanasisimuwa na kukupa historia kamili ya matukio mbali mbali ya nyakati hizo, wenyeji tunasema ndio huko walikopotelea hao tunaokhadithiwa kina 'Juma na Kwiru' kwa mujibu wa khadithi za mababu zetu kama kuna ukweli wowote. No matter where we are, HOME SWEET HOME asikwambie mtu.