Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera Mh. Mkurugenzi wa Wilaya hiyo ya KONDOA. Nakupongeza na kukupa hongera za dhati kwa jitihada zako katika kuiongoza na kuiimarisha vizuri Wilaya hiyo na khususan katika masuala mazima ya usafi na the way ulivyoielezea. Nakubaliana na wewe kukhusu suala la vivutio vya utalii vilivyopo katika Wilaya ya Kondoa na vitongoji vyake, achilia mbali hiyo Chemchem ya asili iliuyopo hapo Kondoa Mjini kadhalika na ile michoro kadhaa iliyopo hapo kwenye majabali (Rocks) katika hicho kilima kilichopo karibu na Mjini, mbali ya hayo pia kuna Kijiji kinachoitwa KOLO-WASI, hapo kuna center ndogo ya utalii ambapo baadhi ya watalii wamekuwa wakifika na kupelekwa sehemu nyingine zaidi kwenye maajabu ya wazee wetu wa kale ambayo huwa yanasisimuwa na kukupa historia kamili ya matukio mbali mbali ya nyakati hizo, wenyeji tunasema ndio huko walikopotelea hao tunaokhadithiwa kina 'Juma na Kwiru' kwa mujibu wa khadithi za mababu zetu kama kuna ukweli wowote. No matter where we are, HOME SWEET HOME asikwambie mtu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...