Ikiwa ni wiki ya 10 tangu kuanza kwa tamasha la muziki mnene mwaka 2016 katika maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, Mkuranga, Mlandizi na Jumamosi ya tarehe 5/11/206 tamasha hili limeitikisa wilaya ya Pwani -Bagamoyo kwa kuwapa burudani kabambe wadau na wasikilizaji wake kutoka kwenye playlist kali ya Rdjs’ mix ya muziki live pale Mageti Mia ikiambatana na burudani kutoka kwa wasanii wa singeli akiwemo Yuda Msaliti, Dogoo Niga na Khalid Chokora. 
Tamasha hili huambatana na matukio mbalimbali kama mbio za taratibu na E-fm jogging wakiungwa mkono na jogging zingine za Bagamoyo kisha hufwatia Funga mtaa kipindi ambacho hutumika katika harakati za kutafuta vipaji vya wasaani chipukizi wa singeli.
 Moja ya wasanii chipukizi Cheki Bob akionyesha kipaji chake kwa watazamaji pale kiwanja cha Top Top – Bagamoyo.
Msanii Dogo Nigga akiwaburudisha mashabiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...