Ndugu Jamaa na Marafiki wakipokea Sanduku lenye mwili wa Marehemu,Bondia Thomas Mashali ukiwasili katika viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar Es Salaam,Marehemu Thomas Mashali ambaye mazishi yake yanatarajiwa kufanyika jioni ya leo Makaburi ya Kinondoni.Mashali alifariki mwishoni mwa wiki kwa kuuwawa na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara,jijini Dar. Ndugu Jamaa na Marafiki wakipokea Sanduku lenye mwili wa Marehemu,Bondia Thomas Mashali ukiwasili katika viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar Es Salaam
Sehemu ya Waombolezaji wakijianda kwenda kuaga na kutoa heshima zao za mwisho .

Ndugu Jamaa na Marafiki wakitoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Marehemu,Bondia Thomas Mashali aliefariki mwishoni mwa wiki kwa kuuwawa na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara,jijini Dar .


PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...