Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na  mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu wakiwasili katika ukumbi wa Ikulu kwa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
 Meza kuu ikiwa imesimama kwa Wimbo wa Taifa
 Rais Dkt Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia kusalimiana na viongozi mbalimbali
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa dhifa hiyo
 Rais Dkt Magufuli akigonganisha glasi na mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia katika dhifa hiyo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwakweli binafsi namkubali sana sana JK yuko vizuri and very social to everyone...

    Vile vile Tanzania ina bahati sana kwa kuwa na hazina kubwa ya Viongozi haswa katika upande wa Marais, ebu cheki hii picha ilivyopendeza, hapo amekosekana Mzee Mkapa tu! Pls ebu tujaribu kuwatumia vizuri hawa Wazee wetu kwa ushauri na manufaha mengineyo kwa Taifa letu.

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Viongozi wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...