THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM


 Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sawa mkono wenye drip wa mkewe Mama Janeth Magufuli, ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mkewe Mama Janeth Magufuli ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016. Kulia ni Dkt Edward Ngwale akiwa na wauguzi katika wodi hiyo. 
 : Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Omar Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwafariji baadhi ya wagonjwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea kuona wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu hapo leo Novemba 10, 2016. 
Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi alipokuwa akitoka  Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Picha na IKULU


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Ajabu kweli kweli! Huyu Mama yeye anatibiwa nchini? Hajapekekwa Ulaya? Mungu Mbariki Magufuli. Mungu Ibariki Tanzania. Tunamuombea Mgonjwa pia.

 2. Anonymous Anasema:

  Mungu akutie nguvu upone vizuri mama yetu, tunakupenda.

 3. Anonymous Anasema:

  This is leadership by action. Sio wengine wafunge mikanda viongozi ule ule! Tofauti ya matendo ya viongozi na maneno yao ndo yamempatia Bwn Trump ushindi. Huyu Rais amejileta karibu na watu. Ameonyesha uongozi wa kweli. Wacha Wabunge wangang'anie mishahara yao Dodoma wanasaidia kuvijennga vyama vya akina Zitto tu. The should take a leaf from Magufuli's humility.

 4. Anonymous Anasema:

  Kweli huyu ni raisi wetu anaongoza kwa vitendo.
  Mungu akubariki raisi wetu na nawapa pole wangonjwa wote.