THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Rais Paul Kagame aendesha gari kumsindikiza mfalme wa Morocco kwenda uwanja wa ndege.

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameendesha gari kumpeleka mfalme wa Morroco Mohammed VI katika uwanja wa ndege baada ya kukamilisha ziara yake nchini humo.


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Eh!! Sasa Raisi Kagame si itabidi awe dereva wa kila kiongozi anayetembelea rwanda?

 2. Anonymous Anasema:

  HAYO YALIKUWA NI MAZUNGUMZO YAO YA SIRI, KWANI HUMO NDANI NI WANYEWE WAWILI TU.

  DR. JAMESSY

 3. HK Anasema:

  Kila shetani na mbuyu wake, lakini sidhani kama itabidi awe dereva wa kila kiongozi atakae tembelea Rwanda. Labda ije itokezee tu mithli ya huyo.