THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

RC GAMBO APOKEA MIFUKO YA SIMENTI

Mkuu wa Mkoa, Mrisho Gambo akipokea mifuko 200 ya simenti kutoka kwa chama cha  wamiliki wa magari aina ya Noah cha Jijini Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akimkabidhi mifuko 50 ya simenti Mkuu wa Wilaya ya Karatu Theresia Mahongo kwaajili ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Oldeani Wilayani Karatu.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akimkabidhi mifuko 50 ya simenti Mkuu wa Wilaya ya Longido Daniel Chongolo kwaajili ya ujenzi wa kitua cha afya Namanga, Wilayani Longido.