THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

RC MAKONDA ALIA NA UVUTAJI SHISHA


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Mheshimiwa Makonda nakupongeza sana kwa juhudi zako mbalimbali katika umahiri wako na juhudi kwenye masuala tofauti humu Jijini Dar Es salaam. Lakini naomba Mheshimiwa ungetutangazia kama lile zoezi la kuondoa ombaomba ulilisitisha au limeshindikana maan ahapa sehemu za Ferry kigamboni kuna watu wanaomba mpaka kwa lazima kwa watu tofauti. Usipompa anakushika shati. Tunakuomba baba labda uje wewe mwenyewe maana Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni labda yeye halimuhusu hili.Tunakuomba baba kwani huu sasa si uombaji bali ni unyang'anyi. Pia kuna baadhi ya watu wanawadhalilisha watoto wenye matatizo tofauiti ya kiafya kuanzia Cellebral Palsy na mengine ambapop wanawaanika pale ndani ya kivuko wakifanya mambo tofauti ili kuvutia watu wawpe msaada. Tafadhali mheshimiwa tusaidie kwa hili kwani huu ni unyanyasaji wa watotoqwasio na hatia na wasiofahamu haki zao.