Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa Makonda nakupongeza sana kwa juhudi zako mbalimbali katika umahiri wako na juhudi kwenye masuala tofauti humu Jijini Dar Es salaam. Lakini naomba Mheshimiwa ungetutangazia kama lile zoezi la kuondoa ombaomba ulilisitisha au limeshindikana maan ahapa sehemu za Ferry kigamboni kuna watu wanaomba mpaka kwa lazima kwa watu tofauti. Usipompa anakushika shati. Tunakuomba baba labda uje wewe mwenyewe maana Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni labda yeye halimuhusu hili.Tunakuomba baba kwani huu sasa si uombaji bali ni unyang'anyi. Pia kuna baadhi ya watu wanawadhalilisha watoto wenye matatizo tofauiti ya kiafya kuanzia Cellebral Palsy na mengine ambapop wanawaanika pale ndani ya kivuko wakifanya mambo tofauti ili kuvutia watu wawpe msaada. Tafadhali mheshimiwa tusaidie kwa hili kwani huu ni unyanyasaji wa watotoqwasio na hatia na wasiofahamu haki zao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...