THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

RC MAKONDA ATINGA UWANNJA WA FISI, AAMURU BIASHARA YA NGONO IFUNGWE

 Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikagua barabara ya Tandale inayounganisha eneo la Mwananyamala ambayo imekuwa haipitiki kwa urahisi kwa kipindi chote kutokana mashimo yaliyokithiri  na kupelekea usumbufu mkubwa kwa waendesha magari na watembea kwa miguu pia,leo jijini Dar es Salaam. 
 Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiteta na Mlemavu ambaye alimkuta katika eneo la uwanja wa fisi akinywa pombe za kienyeji na kumsihi aache kunywa pombe hizo, leo jijini Dar es Salaam. 
 Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa ameongozana na Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro kugonga nyumba za baadhi ya akina dada  ambao hufanya biashara ya kujiuza katika eneo la uwanja wa fisi, leo jijini Dar es Salaam. 
 Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akiwa na Kamanda wa Polisi kanda maalum, Kamishna Simon Sirro wakiangalia bia ambazo zinauzwa uwanja wa fisi zikiwa zimekwisha muda wake,ambazo inaelezwa zimekuwa zikitumika kwa ajili ya matumizi ya Binadamu, leo jijini Dar es Salaam.Picha na Emanuel Masaka-Globu ya Jamii