THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

RPC KINONDONI AWAASA WANAFUNZI VYUO VIKUU KUEPUKA MIGOMO NA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Sasa afande unachanganya madesa hapo. Kwani mbona katika nchi ya demokrasia maandamano ya halali yapo na polisi wana jukumu ya kuyalinda. hawa wataalamu wapya ndo wanademokrasia wa kesho.

  Nadhani ungewasihi watekeleze wajibu wao wa kitanzania wa kuwa wataalamu wazuri zaidi. Lakini pia nchi yetu bado iko nyumba katika kutoa haki kwa kwa raia na huzuia udai wa haki kwa visingizio vya uzunjifu wa amani wakati amani iliyopo inatosha kupatikana haki zote bila hata maandamano isipokuwa vigogo siyo wawajibikaji, except JPM.

 2. Anonymous Anasema:

  Ni askari ndo hatakiwi kuandamana. Maandamano ya raia ni halali ni kitu kizuri kidemokrasia.

 3. Anonymous Anasema:

  Chuo ambacho kinahitimisha wadahiliwa wote si chuo cha elimu ya kweli labda Harvard. Hivo ku-disco na ku-supp ni lazima.

  kama hawataki ku-supp kwani si waende vyuo vingine hamna supp kama vile UDSM n.k. Huko wanahitimu 100%