Viongozi wa serikali, Vyama vya siasa na wabunge wakisafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es salaam kwa ndege mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ya Bombardier, Novemba 13, 2016. Wote walikwenda Urambo Tabora kumzika Spika Mstafu Samuel Sitta Novemba 12, 2016. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa , Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nani alilipa nauli? Serikali au watu binafsi?

    ReplyDelete
  2. Mdau wa mwanzo hapo juu, binafsi nadhani waheshimiwa hao, watakuwa wametekeleza kwa vitendo ile kauli ya Mh. Rais siku ile ya uzinduzi rasmi wa ndege hizo mpya, khususa alipoongelea suala zima la gharama za usafiri aliposisitiza hakuna kuangalia hadhi wala cheo cha mtu, unless otherwise..

    ReplyDelete
  3. MNAONA HIYO PICHA ILIVYO PENDEZA? WOTE MKO KWENYE NDEGE MOJA, HIYO NDIYO SAWA, NA NINAWAOMBA SANA JARIBUNI KUACHA TOFAUTI ZENU ILI NCHI IWE NA UMOJA NA MSHIKAMANO KAMA MLIVYO KATIKA NDEGE HIYO PLEASE.

    DR, JAMESSY

    ReplyDelete
  4. Nimeipenda hiyo sitting plan ya Mbowe na Dr Tulia na wanazungumza pamoja ,hakuna kuonyesha utofauti wa mjengoni,safi sana wakuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...