Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akifungua mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa kwa niaba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akifungua mdahalo huo kwaniaba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba akiongoza mdahalokuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa wakisikiliza mada.
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, akichangia mada kuhusu maadili wakati wa mdahalo wa kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa, uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam. Bi. Susan Mlawi alifunguamdahalo huo kwa niaba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora.
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadili nchini kabla ya mdahalo wa kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa , uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam, uliofunguliwa na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan kwa niaba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...