SIMU.TV: Baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania wasema mpango wa maendeleo wa 2017/2018 hauendani na maisha halisi ya kiuchumi iliyopo. https://youtu.be/edp2ikv8PSA
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema leo ameongoza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo wanaopanga bidhaa kando kando ya barabara za mwendo kasi. https://youtu.be/wrBYOxEA6co
SIMU.TV: Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinatarajia kuanza kutumia hati ya pamoja ya kusafiria kwa raia wa nchi hizi kuanzia Januari mwaka 2017. https://youtu.be/YGbQQxxmkiE
SIMU.TV: Serikali imekemea tabia ya baadhi ya wafanyakazi wake kutotekeleza majukumu yao kikamilifu ukilinganisha na wafanyakazi wa makampuni binafsi. https://youtu.be/RoDpF_kWu-M
SIMU.TV: Halmashauri ya manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam imekifunga kituo cha mabasi cha Mbagala baada ya kugundulika kuendeshwa kinyume na sheria. https://youtu.be/jjSTD9pYoyY
SIMU.TV: Mtoto Lengai Godi mwenye miaka mitatu amelazwa katika idara ya Mifupa MOI hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kushambuliwa na baba yake mkubwa kufuatia ugomvi wa kifamilia. https://youtu.be/KJcaXl4CZ64
SIMU.TV: Kampuni ya Vodacom Tanzania imezindua simu mpya yenye uwezo mkubwa wa kuunganisha mtandao wa kasi ya 4G. https://youtu.be/NGcO6ahgkPg
SIMU.TV: Shirika la nyumba la taifa NHC limepata mkopo wa zaidi ya shilingi bilioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya nyumba za makazi na mahoteli. https://youtu.be/v7gP4SuDRyE
SIMU.TV: Mamia ya waombolezaji wamejitokeza kwenye maziko ya bondia wa Thomas Mashali yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. https://youtu.be/ofbCU98jgeo
SIMU.TV: Klabu ya Simba imeendelea kuongeza kasi ya kulifukizia kombe la ligi kuu Tanzania bara baada ya kuifunga Stand United bao moja kwa bila. https://youtu.be/hsHZlhfwwSs
SIMU.TV: Makocha wa timu za wanawake zinazoshiriki ligi kuu ya wananwake nchini wameomba wadu kujitokeza kuzisaidia vifaa timu hizo. https://youtu.be/DxfhB-us8uI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...